Watoto ndio mustakabali wetu! Kwa kuwapa elimu zaidi,afya bora na nafasi sawa tunaweza wapa fursa ya kufikia uwezo wao kamili kwa hivyo pia kuwawezesha kuwa na matarajio yao binafsi kimaisha. Michango yote binafsi tunayopata yanatumika katika kazi yetu Tanzania.

Jiunge nasi!

separator weiß

Habari kutoka Jambo Bukoba

Start Social Merkel unterschreibt Ball_klein

Tuzo kwa Jambo Bukoba kutoka Kansela Merkel

WordPress Lightbox Plugin